Katika gari ya automatic hizi namba na herufi katika gia zina msaada gani na kazi gani? Mfano 'R' inatumika kurudi nyuma, 'D' inatumika kama kwenda mbele. Je. hizo N, 2 na 1 zina kazi gani?
Kwa uelewa wangu N ni NEUTRAL ni kama free ktk manual, na moja na mbili ni gear zilivyo ivo, kwa mfano unapanda mlima mkubwa sana na pia ukiwa umekwama ktk tope hauwezi tumia D mana utaktwa unatwaga maji ktk kinu