Jamani mwenzenu kuna tatizo limenianza hivi karibuni nahisi ninaumwa.
Ni kwamba kila ninapohisi kwenda haja ndogo nikiibana kidogo au kwa bahati mbaya nikikuta kuna mtu masalani nikalazimika kusubiri nabanwa sana kwa ghafla mpaka nahisi haja ndogo inatoka yenyewe
Kwa sasa nalazimika kukojoa kila mara ili isje ikatokea nikabanwa ili hali hii isinitokee.
Naomba ushauri wenu ndugu zangu.Mi ni mwanaume wa miaka 30.