UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
BancABCNaombeni msaada namna ya kuwapata ABC bank makao makuu kwa sababu nahisi nimeshatapeliwa na hawa vijana wao Wa huku wilayani nimeomba mkopo mda na makato yao yanafanyika Ila pesa niliyoomba hawajatoa