Naombeni msaada nasumbuliwa na ugonjwa ambao nashindwa kuuelewa

Naombeni msaada nasumbuliwa na ugonjwa ambao nashindwa kuuelewa

Kashasha4444

Member
Joined
Aug 12, 2019
Posts
6
Reaction score
1
Habari za sahizi wanajamvi,

Naombeni msaada wa kunijuza ninasumbuliwa na ugonjwa gani nina muda wa mwezi sasa nimekuwa nikipata maumivu ya kiuno, kuchoka kwa mwili lakini pia hali imendelea kuwa sio nzuri mpaka nimeanza kuhisi maumivu madogo sehemu za ndani za milija ya kupitisha mkojo, pamoja na hayo nimeanza kukosa kabisa hamu ya faragha.

Tafadhali naomben msaada juu ya jambo hili.
Asanteni
 
UTI kubwa ..ila siku ingine usikimbilie mtandaoni jaribu kufika hospital kwanza for confirmation
 
Back
Top Bottom