gsmsolution2009
Senior Member
- May 7, 2013
- 120
- 7
umasikini ni mbaya sanah,ukizaliwa masikini utapoteza haki zako za msingi tuNina ndugu yangu askari wa central wamemchukua tangu juzi wamemweka lupango tangu juzi tunahangaika hawataki kutatajia namba ya jalada ya kesi wala kututajia mpelelezi wa kesi na hawataki kumpatia dhamana wanafanya hivyo kwa sababu wako karibu sana na aliyefungua kesi ya madai kwa sababu wanazojua wao wenyewe ila kitu ninachohisi ni kuwa hata jalada halijafunguliwa wamemweka ndani hivi hivi. Naombeni msaada nifanye nini ili aweze kutoka?
Kiaje?mbona hapa umecoment?Kwema wadau nashindwa kutumia JF
Kweli mkuu inaonyesha unahitaji msaada wa kutumia hii forum, kama unaweza ni Pm nikuelewesheKwema wadau nashindwa kutumia JF