NAOMBENI MSAADA NINATATIZO SUGU LA NGOZI

Bugududu Sududu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
594
Reaction score
691
Habari wa jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina tatizo la ngozi ambalo nimedumu nalo kwa muda wa miaka 6 mpaka hivi sasa, nilitokewa na vipele ndani ya tabaka la ngozi ya juu vipele hivi vikiwa katika hatua za mwanzo ukivifinya vinatoa maji maji yenye asili ya mafuta ila vikikomaa vinakuwa vigumu kama tezi halafu ukivifinya vinatoa vitu vyeupe(Gel) ikiwa mfano wa cream inavyotoka kwenye tube, nimefanya vipimo vya kila aina bila mafanikio.Pamoja na changamoto za kifedha nimetafuta tiba kwa muda wote huo bila mafanikio, sijafanikiwa kuonana na wataalamu kutoka hospitali nyingine kubwa tofauti na bugando.nawasilisha naombeni msaada wa ushari pamoja na mawazo,
Asanteni
20171001_065441.jpg
 
AsanteniView attachment 800871

Naziona dalili zote za Nyuzi za Gitaa bora kabisa la Solo la Mkung'utaji wake maarufu huko Congo DR aitwae ' Dally Kimoko '.
 
Kama umepima vipimo na haupati jibu nenda upande wa pili kwa kina kalumanzira au nenda kwa gwajima akakuombee maaana hospital wameshindwa nawasilisha
 
Daaah! Pole sana. Wakina Dokta Mwang'ondi wameshindwa kabisa! Mimi nilikuwa na vipele kichwani nimezunguka hosptali kibao hadi Kairuki bila kupona ila nilipopewa rufaa ya kwenda Bugando nilipewa dawa ya kumeza wiki mbili na cream ya kupaka nikapona kabisa. Kama imeshindikana hapo nakushauri uende hospitali ya KCMC Moshi hapo ndo wataalamu wa tiba ya ngozi wanapozalishwa.
 
Asante nashukuru kwa ushauri wako
 
Kitaalamu tunaita "NEUROFIBROMATOSIS" ni ugonjwa ambao ukishachelewa matibabu yake hauwezi kupona tena na kama hizo tumours zinauma na kuwa rangi ya Brown basi upo kwenye stage mbaya.
Vipi usoni nako kumeanza kupatwa na viPele??
 
Habari wa jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina tatizo la ngozi ambalo nimedumu nalo kwa muda wa miaka 6 mpaka hivi sasa, nilitokewa na vipele ndani ya tabaka la ngozi ya juu vipele hivi vikiwa katika hatua za mwanzo ukivifinya vinatoa maji maji yenye asili ya mafuta ila vikikomaa vinakuwa vigumu kama tezi halafu ukivifinya vinatoa vitu vyeupe(Gel) ikiwa mfano wa cream inavyotoka kwenye tube, nimefanya vipimo vya kila aina bila mafanikio.Pamoja na changamoto za kifedha nimetafuta tiba kwa muda wote huo bila mafanikio, sijafanikiwa kuonana na wataalamu kutoka hospitali nyingine kubwa tofauti na bugando.nawasilisha naombeni msaada wa ushari pamoja na mawazo,
AsanteniView attachment 800871
Ulivyokwenda Hospitali kupima je Daktari wako alikwambiaje?na je umewahi kupima Damu yako? Na je upo mji gani?jibu maswali yangu yote niliyo kuuliza.
 
Nipo mwanza, nimefanya FBP, BLOOD CULTURE, VDRL, Lakin majibu waliniambia hakuna shida labda typhoid na aleji pia kwahiyo kuhusu aleji jaribu kujichunguze mwenyewe,
 
Habari wa jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina tatizo la ngozi ambalo nimedumu nalo kwa muda wa miaka 6 mpaka hivi sasa, nilitokewa na vipele ndani ya tabaka la ngozi ya juu vipele hivi vikiwa katika hatua za mwanzo ukivifinya vinatoa maji maji yenye asili ya mafuta ila vikikomaa vinakuwa vigumu kama tezi halafu ukivifinya vinatoa vitu vyeupe(Gel) ikiwa mfano wa cream inavyotoka kwenye tube, nimefanya vipimo vya kila aina bila mafanikio.Pamoja na changamoto za kifedha nimetafuta tiba kwa muda wote huo bila mafanikio, sijafanikiwa kuonana na wataalamu kutoka hospitali nyingine kubwa tofauti na bugando.nawasilisha naombeni msaada wa ushari pamoja na mawazo,
AsanteniView attachment 800871
Njoo pm
 
Nenda kwenye duka la dawa utafute hii dawa. Inauzwa kati ya Tsh 3,000-4,000. Inaweza kukusaidia.

Persol%2B5%2BGel%2Bbox%2Btube.jpg
 
Nipo mwanza, nimefanya FBP, BLOOD CULTURE, VDRL, Lakin majibu waliniambia hakuna shida labda typhoid na aleji pia kwahiyo kuhusu aleji jaribu kujichunguze mwenyewe,
Ok ninaweza mimi kukutibia na ukapona nitafute kwa wakati wako na Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Back
Top Bottom