Naombeni msaada please.

Naombeni msaada please.

TOTS SHALO

Senior Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
152
Reaction score
25
Hi people. Naomba kuuliza hiv ni kweli kwamba wanawake wafupi ningum kujifungua kwanjia yakawaida? au sio kweli nakama ni kweli nitatizo gani linalosababisha hali iyo. KWENU WADAU
 
Nasikia hivo pia, nimeshuhudia wengi wanazaa kwa operesheni sijui huwa ni nini?
 
Back
Top Bottom