TOTS SHALO Senior Member Joined Sep 24, 2012 Posts 152 Reaction score 25 Dec 24, 2013 #1 Hi people. Naomba kuuliza hiv ni kweli kwamba wanawake wafupi ningum kujifungua kwanjia yakawaida? au sio kweli nakama ni kweli nitatizo gani linalosababisha hali iyo. KWENU WADAU
Hi people. Naomba kuuliza hiv ni kweli kwamba wanawake wafupi ningum kujifungua kwanjia yakawaida? au sio kweli nakama ni kweli nitatizo gani linalosababisha hali iyo. KWENU WADAU
C chief mtwe Member Joined Dec 10, 2013 Posts 95 Reaction score 11 Dec 26, 2013 #2 Nasikia hivo pia, nimeshuhudia wengi wanazaa kwa operesheni sijui huwa ni nini?
H Howt Lady JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 1,518 Reaction score 471 Dec 27, 2013 #3 Ngoja waje wataalam watufafanulie
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 6,682 Reaction score 11,461 Dec 28, 2013 #4 Sio kweli ni imani potofu tu...