vickboy.com
Member
- Jul 29, 2013
- 85
- 23
Habarin wana jf! mwezenu nilibahatika kupata mkopo toka heslb, tukiwa chuoni imekuja jana fomu ya wenye mkopo jina langu likiwemo tukaandika account no zetu but cha kushangaza imekuja fomu ya kusaini pesa za kuingiziwa nakutana na suspension ya hizo pesa na hawajasema sababu za kufanya hivo, plz naomba msaada wa mwenye uelewa na hili ili nifanye na niko st. joseph tawi la songea, hali mbaya jamani totally disappointed!