Naombeni msaada plz kwa wanaofahamu!

vickboy.com

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
85
Reaction score
23
Habarin wana jf! mwezenu nilibahatika kupata mkopo toka heslb, tukiwa chuoni imekuja jana fomu ya wenye mkopo jina langu likiwemo tukaandika account no zetu but cha kushangaza imekuja fomu ya kusaini pesa za kuingiziwa nakutana na suspension ya hizo pesa na hawajasema sababu za kufanya hivo, plz naomba msaada wa mwenye uelewa na hili ili nifanye na niko st. joseph tawi la songea, hali mbaya jamani totally disappointed!
 
  • ​Fuatilia kwa kina hapo hapo chuo "load desk" watakupa maelezo ni kwanini, na kama kuna makosa yamefanyika pia utajulishwa.
 
Dah! pole sana mkuu nadhani hata assignment hazipandi, sasa cha kufanya muone waziri wa mikopo wa chuo chako nadhani atakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…