Hasson Da Melles
Member
- Aug 11, 2012
- 76
- 3
duuhh!!! wewe si ndio yule mkuu aliye pangwa udsm bachelor of engineering na makorokocho
sa Sindio Wamebadilisha Kaka...
wameniwekea SA002
Bachelor of Arts in
Public Relations and
Marketing
St. Augustine
University of
Tanzania
sa sielewi Ni Wapi...
kwa hiyo coz upo main campus mwanza(malimbe) karibu xana kaka
Hii coz iko main campus tu...karibu mwanza, karibu BA in PR and markng
dogo kwa kukusaidia saut BAPRM kwa sasa iko karibu matawi yake yote hasa tabora, bukoba na songea fungua web ya saut angalia kwenye join instruction utaipata
Msaada jamanii TCU imenipa posta ya kwenda SAUT-BUKOBA - coarse ya BAED alafu nikiangalia kwenye list selected applicant wa SAUT MAIN compus wala sipo ni nikiangalia kwenye website ya SAUT-BUKOBA branch hawajatoa list ya selected applicant alafu nikiwapigia wanasema niangalie kwenye Main compus ndio kuna list zote apa nimechanganyikiwa sielewi wakuu naomba msaada