Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 289
sawa kaka, ngoja niendelee kuwasubiriwatakuja hapa watu wa halimashauri wakuelekeze cha kufanya dogo, vuta subra tu!
mkuu hadi sasa bado nipo kwenye hii halimashauri ya jiji la hapa mbeya. Tatizo ni hii taaluma niliyo nayo kwa sasa (IT) haitambuliki kwenye idara yangu ya elimu sekondari. Msaada ninao uhitaji ni namna gani naweza kuhama kwenye hii idara ya elimu pasipo kuathiri ka-mshahara kangu. Sikwamba nahitaji ajira mpya mkuu, nahitaji kujua jinsi gani nitaweza kuhamia idara watakayo nitambua mkuu.Umekuwa kwenye payroll tangia 2006? Una pesa kidogo kama TZS 500,000 nikusaidie? Unataka Halmashauri gani?
we mwalimu acha kumzingua huyu mtaalam, wewe umeishalipwa madai yako?Umekuwa kwenye payroll tangia 2006? Una pesa kidogo kama TZS 500,000 nikusaidie? Unataka Halmashauri gani?
we mwalimu acha kumzingua huyu mtaalam, wewe umeishalipwa madai yako?
hahahaaa, mkuu si umewasikia mwenyewe, mara wamelala sakafuni kwenye ukumbi wa jiji, mara mkurugenzi amewanyima posho zao, unategemea watatoa mawazo ya msaada hapo? NEVERhaaaah haaaah haaah ww kweli Jimbi.
kaka punguza ukali aiseehahahaaa, mkuu si umewasikia mwenyewe, mara wamelala sakafuni kwenye ukumbi wa jiji, mara mkurugenzi amewanyima posho zao, unategemea watatoa mawazo ya msaada hapo? NEVER
nashukuru sana kaka, naona nimepata pa kuanzia sasadogo hapa naona kama hautaweza kupata mawazo mazuri, jukwaa hili wamejazana waalimu wakilalamikia mara malimbikizo, mara mishahara, mara sijui nini.
vile vile sidhani kama wanafurahishwa na jitihada zako za kutaka kuwakimbia kwenye viboko vya sisiemu, hahahaa.
Ushauri wangu kwako kijana ni huu, andika barua kwa mkurugenzi wako wa jiji, ukimuelezea wasifu wako kwasasa, ambatanisha na nakala za vyeti vyako vya sasa, halafu sikilizia..
kaka ulisoma vizuri maelezo yangu pale juu? rudia utanielewa2006-2012-7yrs exp..aisee najiuliza umepataje kazi wakati kila kazi nikisoma inaitaji 10yrs exp
ongeza 3 watakurekebishia 10 yrs ndio full exp mpwa komaa
ahsante dada kwa ushauri wako mzuri. lakini tatizo langu mie siyo kuacha kazi halafu nitafute nyingine. ninachohitaji ni kuhamia idara nyingine ili nisipoteze haki zangu, nimeingia kwenye ualimu tangu 2006 dada, you can imagine!Mi naona uendelee kufanya kazi yako ya ualimu
huku unaandika barua za maombi ya kazi yako mpya
ukiitwa kwenye interview na kufanikiwa ajira ya IT
itakubidi uandike barua ya kuacha kazi kufuatana na taratibu za ajira yako ya ualimu.
wewe kijana wakati unaandika hapa ulikuwa umelewa, sivyo?2006-2012-7yrs exp..aisee najiuliza umepataje kazi wakati kila kazi nikisoma inaitaji 10yrs exp
ongeza 3 watakurekebishia 10 yrs ndio full exp mpwa komaa
Duh, kumbe huu mjadala ulifikia hatua hii? Ndugu zanguni samahanini sana, nilichelewa kuwapa feedback, nilikwisha fanya maamuzi magumu. Wale maafisa utumishi walijifanya kama miungu watu, basi nikaamua kuwaachia kazi yao kimya-kimyawewe kijana wakati unaandika hapa ulikuwa umelewa, sivyo?