Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,035
- 1,005
Pole sana mkuu,ngoja wataalam waje najua uko ktk wakati mgumu.Ila ufumbuzi utapatikana.
Jamani natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Jamani nina mtoto wa miezi mitatu ila toka azaliwe kuna mucas nyeupe ina mtoka machoni tumetumia tiba kwa ushauri wa madaktari tulio waona lakini tatizo bado. Tunaomba msaada kwa anayejua tiba. Asanteni
We upo maeneo gani?umejaricu kwenda ccbrt?