Naombeni msaada tafadhari

Naombeni msaada tafadhari

Sydfred

Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
28
Reaction score
4
Habari wana JF, mimi ni kujana wa kiume nina miaka 25.

Nimekuwa na tatizo la kujaa mate kifuani nakuwa kama nataka kutapika ila hakuna kinachotoka. tatizo hili linanipata zaidi usiku, yaani ninapojilaza nilale ndipo shughuli inaanza, nimekuwa nakosa hadi usingizi, kwa kifupi sijui tatizo ni nini. naombeni msaada kwa anayefahamu tatizo ni nini na dawa yake ni nini?

Asanteni.
 
Back
Top Bottom