Naombeni msaada upele unaniwasha

Naombeni msaada upele unaniwasha

saghe j e

New Member
Joined
Mar 1, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Kuna upele ulinitoka na unawasha sana na baadaye hiyo sehemu ikawa nyeusi. je ni ugonjwa gan naomba msaada ?
 
Mwanzo wa yote ungeenda kwanza hospital halafu ikishindikana ndo utafute ushauri. Au unataka tupige ramli?
 
Pakaa hii kitu kwenye picha eneo lililoathirika mara 3 kwa siku

800px-Aloe_vera_plant.jpg
 
Back
Top Bottom