S saghe j e New Member Joined Mar 1, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Mar 1, 2014 #1 Kuna upele ulinitoka na unawasha sana na baadaye hiyo sehemu ikawa nyeusi. je ni ugonjwa gan naomba msaada ?
Kuna upele ulinitoka na unawasha sana na baadaye hiyo sehemu ikawa nyeusi. je ni ugonjwa gan naomba msaada ?
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,688 Reaction score 5,129 Mar 1, 2014 #2 Mwanzo wa yote ungeenda kwanza hospital halafu ikishindikana ndo utafute ushauri. Au unataka tupige ramli?
Mwanzo wa yote ungeenda kwanza hospital halafu ikishindikana ndo utafute ushauri. Au unataka tupige ramli?
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 442 Mar 1, 2014 #3 Pakaa hii kitu kwenye picha eneo lililoathirika mara 3 kwa siku
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,267 Mar 1, 2014 #4 saghe j e said: Kuna upele ulinitoka na unawasha sana na baadaye hiyo sehemu ikawa nyeusi. je ni ugonjwa gan naomba msaada ? Click to expand... Nenda hospitali haraka, hata MKANDA WA JESHI unaanzaga hivyo hivyo!
saghe j e said: Kuna upele ulinitoka na unawasha sana na baadaye hiyo sehemu ikawa nyeusi. je ni ugonjwa gan naomba msaada ? Click to expand... Nenda hospitali haraka, hata MKANDA WA JESHI unaanzaga hivyo hivyo!
M msakahabari Member Joined Jul 6, 2012 Posts 29 Reaction score 8 Mar 1, 2014 #5 Kaoge maji ya bahari