Naombeni msaada wa bei za haya magari kwenye yards za Dar kwa mwenye uzoefu kidogo

Gud gud, ngoja tusubiri majibu. Wenye show room jiripueni hapa.
 
Noah,Rav4,Harrier


Mbona unaulizia kama ambaye anataka kununua bajaji au guta?...

Maana bei ya magari hutofautiana kutokana na model, mwaka wa kutengenezwa, ukubwa wa engine na hata rangi na kilometa?....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…