Naombeni msaada wa haraka jamani, vinginevyo naumbuka

Pole kaka nakuona hapo umetoa macho balaa....mi nipo nje hapa kwenye kibanda cha tgo pesa
 
Ikifika mida ya Saa 10 Jioni Utakuwa ushapata suluhu na ikifika kesho Utakuwa ushasahau kilichotokea! Amini nakuambia....
 
Vodacom, tiGO na Airtel wanakopesha,au waache hapo wataosha vyombo na kufanya usafi wakishindwa kulipa bill
 
Vodacom, tiGO na Airtel wanakopesha,au waache hapo wataosha vyombo na kufanya usafi wakishindwa kulipa bill
Unaongea kirahisi sana. Hawa ni ndugu zangu wa damu wametoka Jana kijijini Sasa nikiwafanyia hivyo kule kijijini wakirudi wakasema yaliyowatokea mm nitafanya nn
 
Unaongea kirahisi sana. Hawa ni ndugu zangu wa damu wametoka Jana kijijini Sasa nikiwafanyia hivyo kule kijijini wakirudi wakasema yaliyowatokea mm nitafanya nn
Wewe dadazako unaogopa kuwaambia ulichonacho mfukoni ?? Unaona aibu? Afu kwa Nini uwapeleke watu bar na budget ya 30000??
 
Ushamba tu umewasumbua na hawana hata Mia wapo wapo tu ni dada zangu wa damu
Shida ya kutafuna dada zako lakini ulivyofanana na pimbi haukupiga mahesabu na kuweka mambo sawa na mhudumu.Nipe namba ya dada yako mmoja nikusaidie
 
Sina mkuu nipo na 30000 tu haitoshi kwa vinywaji walivyochukua
Kama huna hela za kutosha zi ulale nyumbani?
Ungeenda kwa Mangi ukachukua pilser zako ukanywa home?

Efu 30 ni ya kwenda nayo bar kweli Mwanaume?? Mwenye macho ya kupepesa?
Man alone ingekutosha, ila kutaka kuonekana Fogo bar imekukost 🤣🤣
 
Tukienda sehemu za kutumia huwa natoa maelekezo kwanza kuwa nina kiasi hiki ili kusije tokea hayo.

siku moja nimemtoa jamaa yangu twende tukapate supu basi mimi nimeagiza kongoro yeye kaagiza mchesho tena kidali.ni kamwambia ninapesa ya kongoro tu hiyo ongezea wewe.tokea siku hiyo hatusemeshani
 
Reactions: BRN
ku
Hapana kweli kabisa ilikuwa 2011 au 2012 sina kumbukumbu exactly mambo ya kuchanja hayakuwepo na hata yangekuwepo umoja switch zama hizo card zao hazikuwa visa wala mastercard lazima utoe pesa kwenye atm zao tu
kumbe shoppers ya kitambo !
 
ku
kumbe shoppers ya kitambo !
Yes ya kitambo sana, hii ya mbezi ndo ya hivi karibuni lakini shoppers ile iliyo opppsite na mayfair baada ya tmj ya kitambo kabla hata ya hizi kibo complex
 
Duh. Unatoa maelezo hata hujajua wanaagiza nn
 
Ndoivo kila mbuzi hula urefu wa kamba yake ~mamer samier suruhur
 
Weka picha
 
Mtafute aliyewahudumia na umuulize kama anajua wewe ndio boss na kwanini hajasikiliza order Yako,make it arise vinywaji vinginevyo katoa offer na asisumbuliwe yeyote🤔
 
Mkuu samahani kwa kuuliza,kwanini ulitoka kuchukua hela ATM ndio ukalipa badala ya kulipa kwa kutumia hiyo hiyo kadi yako ya ATM?
Hapo ndio utajua Stori Ni ya Kutunga. Kiufupi huyo Nafaka inaonekana hajawahi kuingia Shopping Mall (Super Market). Kila Super Market kwenye Payment wana Option ya Scanning(Bar Code Payment),Card Swapping na Mobile Transaction au Bank Mobile. Aache kudanganya watu hapa. Yaani Stori Nyingi za hili Jukwaa la MMU Ni za Kutunga (FAKE NEWS Kwa mjibu wa Trump).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…