bachelor sugu JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 2,689 Reaction score 3,646 Oct 9, 2018 Thread starter #21 Titicomb said: Hata sasa sickle cell kwa mtoto au mtu asiekuwa na uwezo anatibiwa bure kabisa. Kuna watu wa ustawi wa jamii wanathibitisha kama mgonjwa hana uwezo kisha anapata tiba bure. Click to expand... Wapi mkuu wanapata matibabu bure au ni ktk hospitali zote za serikali?
Titicomb said: Hata sasa sickle cell kwa mtoto au mtu asiekuwa na uwezo anatibiwa bure kabisa. Kuna watu wa ustawi wa jamii wanathibitisha kama mgonjwa hana uwezo kisha anapata tiba bure. Click to expand... Wapi mkuu wanapata matibabu bure au ni ktk hospitali zote za serikali?
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 12,823 Reaction score 21,210 Oct 9, 2018 #22 bachelor sugu said: Wapi mkuu wanapata matibabu bure au ni ktk hospitali zote za serikali? Click to expand... Hospital za serikali hasa ngazi ya wilaya na kuendelea. Au kwenye vituo vikubwa vya afya vinavyo milikiwa na serikali. Mgonjwa yupo wilaya gani?
bachelor sugu said: Wapi mkuu wanapata matibabu bure au ni ktk hospitali zote za serikali? Click to expand... Hospital za serikali hasa ngazi ya wilaya na kuendelea. Au kwenye vituo vikubwa vya afya vinavyo milikiwa na serikali. Mgonjwa yupo wilaya gani?
bachelor sugu JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 2,689 Reaction score 3,646 Oct 9, 2018 Thread starter #23 Titicomb said: Hospital za serikali hasa ngazi ya wilaya na kuendelea. Au kwenye vituo vikubwa vya afya vinavyo milikiwa na serikali. Mgonjwa yupo wilaya gani? Click to expand... Yupokilosa mkuu
Titicomb said: Hospital za serikali hasa ngazi ya wilaya na kuendelea. Au kwenye vituo vikubwa vya afya vinavyo milikiwa na serikali. Mgonjwa yupo wilaya gani? Click to expand... Yupokilosa mkuu