Hiyo ni michezo ya wanga wanakulisha ngozi za wanyama most likely fisi,cha kufanya lala na mfupa wa kitimoto au pakaza mafuta yake kitandani au ukiweza jipake mwilini wakati wa kulala
Habari zenu wakuu!!
Mara nyingi nimekuwa nikiota ndoto moja mda mrefu sana na ndoto inayonitesa sana. Naweza kukaa week mbil au moja ikajurudia ila haipiti mwezi sijaota. Nimekuwa nikiota na kula bablishi kubwa sana mdomoni ambayo inanitesa sana kuitoa hadi ndoto inaisha iyo bablishi inanata sana kwenye meno na navyoitoa haishi mdomoni hadi nashtuka na meno yanauma sana. Mda mwingne navyoangaika kuitoa nahisi nashindwa kupumua. Kwa mtu anayejua ndoto naomba msaada tafadhali niweze kuepukana na hili.
....kuna kitabu fulani kina kava jeusi.....kitabu hiki kilimshangaza mfalme wetu baaada ya kusaidia mambo mengi...jaribu uwe unakiweka chini ya mto wakati wa kulala......manake waweza kuwa mvivu kukisoma.......
Habari zenu wakuu!!
Mara nyingi nimekuwa nikiota ndoto moja mda mrefu sana na ndoto inayonitesa sana. Naweza kukaa week mbil au moja ikajurudia ila haipiti mwezi sijaota. Nimekuwa nikiota na kula bablishi kubwa sana mdomoni ambayo inanitesa sana kuitoa hadi ndoto inaisha iyo bablishi inanata sana kwenye meno na navyoitoa haishi mdomoni hadi nashtuka na meno yanauma sana. Mda mwingne navyoangaika kuitoa nahisi nashindwa kupumua. Kwa mtu anayejua ndoto naomba msaada tafadhali niweze kuepukana na hili.
Mshana samahani me na ndoto uwa naota mara nyingine natoa manyoya mdomoni ya kuku yaweza kuwa sawa na hiyo? Kama ni sawa na hiyo ntafanyaje kumjua mbaya wangu?
wanamlisha wakiwa physically ndani ya nyumba yake ama wanakuwa remote then wanatuma kupitia jina lake?/Hiyo ni michezo ya wanga wanakulisha ngozi za wanyama most likely fisi,cha kufanya lala na mfupa wa kitimoto au pakaza mafuta yake kitandani au ukiweza jipake mwilini wakati wa kulala
Imani si jambo la lelemama, inatakiwa kujitoa kwa Mungu kabisa kabisa, siyo leo unasali then kesho yake upo bar unalichafua hekalu la bwana!! wanga lazima wataku-beep tu.Kabla ya kulala piga magoti usali,kusali ni kuongea na Mungu,kwahiyo hakikisha wakati unasali mazingira ni masafi na hapo mahali ni tulivu,tubu makosa yako,mueleze shida yako na umuombe akuepushe na hiyo ndoto.Hutaamini utalala usingizi mzuri na huo utakuwa mwisho wa hizo ndoto.
Hiyo ni michezo ya wanga wanakulisha ngozi za wanyama most likely fisi,cha kufanya lala na mfupa wa kitimoto au pakaza mafuta yake kitandani au ukiweza jipake mwilini wakati wa kulala