naombeni msaada wa kisheria je, naweza kuishtaki hii bar ya jirani

naombeni msaada wa kisheria je, naweza kuishtaki hii bar ya jirani

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
natumai ntapata msaada wa kimawazo hapa kwakua najua jukwaa hili linawanasheria si haba,
'
pembeni ya maskani yangu kuna bar moja hatari sana
yani imekua kero usiku mzima hatulali ni kelele tu,
wakishalewa wanapiga miziki wanaimba kwa sauti,
usiku wanatushtua usingizini kwa kelele zao
,

je, naweza kuwafungulia mashtaka mahakamani kwa usumbufu wao?
 
Back
Top Bottom