natumai ntapata msaada wa kimawazo hapa kwakua najua jukwaa hili linawanasheria si haba,
'
pembeni ya maskani yangu kuna bar moja hatari sana
yani imekua kero usiku mzima hatulali ni kelele tu,
wakishalewa wanapiga miziki wanaimba kwa sauti,
usiku wanatushtua usingizini kwa kelele zao
,
je, naweza kuwafungulia mashtaka mahakamani kwa usumbufu wao?