Mgeni Haruhusiwi Kumiliki Ardhi
Anza Kwanza UHAMIAJI TANZANIA
Kabla Hujaenda Ardhi
CC: UHAMIAJI TANZANIA
Nashukuru kwa ushauri wako!Hao unaowaita UHAMIAJI TANZANIA nimeshaonana nao ila walinijibu tofauti na uelewa wako!Walisema wao wanahusika na wahamiaji toka nje ya Tanzania.Sisi ambao tunahama mikoa na kuwa wahamiaji ndani ya mikoa jirani hawatuhusu!Mgeni Haruhusiwi Kumiliki Ardhi
Anza Kwanza UHAMIAJI TANZANIA
Kabla Hujaenda Ardhi
CC: UHAMIAJI TANZANIA
Nakushukuru sana kwa kumfafanulia vizuri!Hilo ndilo tatizo letu watanzania mara nyingi tunachukulia mambo kwa upande mmoja halafu tunafikia mkataa!Nadhani "UHAMIAJI" wake umeuchukulia vibaya. Mi Mtanzania asie na asili ya Mbeya. Mleta mada nifuate inbox nikupe maelekezo namna ya kufanya ili ufanikiwe lengo lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani "UHAMIAJI" wake umeuchukulia vibaya. Mi Mtanzania asie na asili ya Mbeya. Mleta mada nifuate inbox nikupe maelekezo namna ya kufanya ili ufanikiwe lengo lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji116]Nakushukuru sana kwa kumfafanulia vizuri!Hilo ndilo tatizo letu watanzania mara nyingi tunachukulia mambo kwa upande mmoja halafu tunafikia mkataa!
Maelekezo huwa tusnapeana hapa jukwaani kwa faida ya wengine.
KWASASA serikali ina mpango uitwao upinsji shirikishi, unatafuta majirani kusbzia 10 na kuendelea, mnawaita ma afiss ardhi kuja kutoa elimu na baada ya hapo mtachangia 250,000 kwa kila kiwanja kwa ajili ya upimaji.
Japo hivi karibuni Waziri alitsngaza bei mpya ya 150k sijui kama imeanza kutumika.
Njia ya pili ni kununua karibu na watu waliopimiwa, hii itakuwa nafuu sana kupimiwa kwani ramani ysko itaunganishwa kwa wale waliopimiwa.
Ukiwa peke yako mbali na waliopimiwa tumia njiabya kwanza hapo juu vinginevyo utalipa gharama kubwa sawa na mtu anayevuta umeme kwa nguzo nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemjibu kwa upole...hongera[emoji116]Maelekezo huwa tusnapeana hapa jukwaani kwa faida ya wengine.
KWASASA serikali ina mpango uitwao upinsji shirikishi, unatafuta majirani kusbzia 10 na kuendelea, mnawaita ma afiss ardhi kuja kutoa elimu na baada ya hapo mtachangia 250,000 kwa kila kiwanja kwa ajili ya upimaji.
Japo hivi karibuni Waziri alitsngaza bei mpya ya 150k sijui kama imeanza kutumika.
Njia ya pili ni kununua karibu na watu waliopimiwa, hii itakuwa nafuu sana kupimiwa kwani ramani ysko itaunganishwa kwa wale waliopimiwa.
Ukiwa peke yako mbali na waliopimiwa tumia njiabya kwanza hapo juu vinginevyo utalipa gharama kubwa sawa na mtu anayevuta umeme kwa nguzo nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa ushauri wako!Hao unaowaita UHAMIAJI TANZANIA nimeshaonana nao ila walinijibu tofauti na uelewa wako!Walisema wao wanahusika na wahamiaji toka nje ya Tanzania.Sisi ambao tunahama mikoa na kuwa wahamiaji ndani ya mikoa jirani hawatuhusu!
Nimepata eneo lakini gharama yote ya kupimiwa hadi kupewa hati nimeambiwa shilingi milioni tatu na laki mbili,yaani hadi nimwchoka kaeneo kenyewe ni robo heka!!!Maelekezo huwa tusnapeana hapa jukwaani kwa faida ya wengine.
KWASASA serikali ina mpango uitwao upinsji shirikishi, unatafuta majirani kusbzia 10 na kuendelea, mnawaita ma afiss ardhi kuja kutoa elimu na baada ya hapo mtachangia 250,000 kwa kila kiwanja kwa ajili ya upimaji.
Japo hivi karibuni Waziri alitsngaza bei mpya ya 150k sijui kama imeanza kutumika.
Njia ya pili ni kununua karibu na watu waliopimiwa, hii itakuwa nafuu sana kupimiwa kwani ramani ysko itaunganishwa kwa wale waliopimiwa.
Ukiwa peke yako mbali na waliopimiwa tumia njiabya kwanza hapo juu vinginevyo utalipa gharama kubwa sawa na mtu anayevuta umeme kwa nguzo nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata eneo lakini gharama yote ya kupimiwa hadi kupewa hati nimeambiwa shilingi milioni tatu na laki mbili,yaani hadi nimwchoka kaeneo kenyewe ni robo heka!!!
Unachosema nadhani ni kweli!Tatizo majirani zangu wote wamekataa kupimiwa wanasema wao hawataki!Hii inamaanisha uko mbali na waliopimiwa, hiyo gharama ni sawa.
Hebu jaribu kushawishi jirani zako mpimiwe pamoja.
Utapima kwa gharama nafuu
Sent using Jamii Forums mobile app