Kwenye muundo wa maafisa maendeleo ya jamii hakuna sifa ya kielimu inayoitwa bachelor of adult education and community development.Wakuuu habari zenu na pole na majukum,Mimi ni mtumishi mwalimu nimesoma Bachelor Degree in Adult Education and Community Development.
Ndugu zangu AFISA UTUMISHI NIMEMUANDIKIA BARUA ANIHAMISHIE IDARA YA MAENDELEO YA JAMIII AMEGOMA AMEDAI SINA SIFA .NDUGU ZANGU NAOMBENI MSAADA WENU WA MAWAZO MNISAIDIE KATIKA HILI.
SHUKRANI
MKUU UNAJUA MIUUNDO PALE INATENGENEZWA HIZI KOZI ZINGINE HAZIKUWEPO KAKA HII KOZI INA MAENDELEO YA JAMIII BUSARA KIUKWELI INAHAITAJIKAKwenye muundo wa maafisa maendeleo ya jamii hakuna sifa ya kielimu inayoitwa bachelor of adult education and community development.
Ni kweli hauna sifa zinazohitajika kimuundo
MKUU UNAJUA MIUUNDO PALE INATENGENEZWA HIZI KOZI ZINGINE HAZIKUWEPO KAKA HII KOZI INA MAENDELEO YA JAMIII BUSARA KIUKWELI INAHAITAJIKA
Ale taratibu hapo alipo. Kama anafaa kwa kazi ataonekana tuu.kuna wenzako wanaitafuta nafasi kama yako wanaikosa wewe unaipata unataka kuhangaika....sasa huko maendeleo ya jamii unataka kwenda kufanya nini...?
Kwa sasa tunasimamia miundo inasemaje, mpaka pale mabadiliko yatakapofanyika kwenye miundo tuliyonayo.MKUU UNAJUA MIUUNDO PALE INATENGENEZWA HIZI KOZI ZINGINE HAZIKUWEPO KAKA HII KOZI INA MAENDELEO YA JAMIII BUSARA KIUKWELI INAHAITAJIKA