Habari wakuu
Nahitaji ushauri wa kisheria yupo mzee mwenye umri miaka. 80 alitokea hali duni kifedha hadi kufanikiwa sasa miaka 10 ilipita alikuwa mkorofi, fujo tupu mama mzazi alimfukuza
Baada yakufariki mama alirudi kwa mzee, ,huko akiwa kipenzi cha mzee akapokelewa na akasema baba mimi nikusaidie hapo dukani alipoingia baada ya kuwa mwenyeji akawa anagawa kazi kuingiza kipato mfukoni
Miaka 4 iliopita mzee alipata stroke na kuwa sio hali yakuendelea kazi. Siku moja kulitokea ugomvi katika mzee kupinga akamtemea na kumpiga, familia ikaamua atoke nyumbani sasa.
Dukani hatoki na miaka 4 yote haumpi pesa mzee wala huduma ameambiwa atoke.na ndugu anaweka masharti apewe mtaji.
Sasa njia gani yakisheria itamtoa haraka bila yeye kuhamisha bidhaa ya mzee?
Nyaraka zote za umililiki ni za mzee, nipeni ushauri nimsaidie mzee Huyo.