Kama alivyoandika mwana JF mwenzangu hapo juu katika sheria si mikataba yote inaandikwa ndio inatumika kutoa ushahidi au kudai, hata kama mlikubaliana by mere words na swala likafanyika basi unaweza kuclaim ur part of the contract kama the other paty hakutimiza mliyokubaliana. Kumdai utamdai kama kawaida given that mlikubaliana mkiwa katika sound mind na jambo mlilokubaliana lilifanyika.