Naombeni msaada wa kisheria

Naombeni msaada wa kisheria

NURDIN.HAMIS

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
79
Reaction score
5
Hivi katika sheria za kazi kunakipengele kinasema uumpe mfanyakazi mkataba wa mwezi mmoja mmoja kila akimaliza tu unampa mwingine wa mwezi tena nizaidi ya mitano sasa utaratibu ni huo huo niliukuta na bado unaendelea huu utaratibu. Naombeni msaada tunakosa maslahi mengi kama nssf n.k.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hapo unaweza kuliwasha lakini ujue kibarua kitakufa ila atakulipa haki zako zote mpaka hapo ulipofikia tangu uanze kazi. mkataba wa mwezi mmoja mmoja hautakiwi kuzid miezi mitatu
 
Back
Top Bottom