Naombeni msaada wa kitaalamu,

Naombeni msaada wa kitaalamu,

E.M.E.M

Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
41
Reaction score
15
Nina bibi yangu,shangaz take na baba.katika ujana wake alibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume, mumewe alifariki,mtoto wake pia alifariki na kumuachia Mjukuu mmoja wakike ambae nae kwasasa ameolewa,,sasa shemeji zake wa bibi wanamdhurumu mashamba na kusema hana haki, viongozi wa kijiji nao wanachangia dhuruma,,hana wa kumsaidia ,mim ndie mwenye jukumu la kumsaidia bibi yangu,

Msaada tafadhari
 
Eleza uko wap? Hizo mali za huyo bibi ziko wap na je anataka kuzitia kama urithi au anataka iweje? Kitu pekee cha kushauri ktk scenario yko ni kumsaidia bibi yako kufanya estate planning
 
Eleza uko wap? Hizo mali za huyo bibi ziko wap na je anataka kuzitia kama urithi au anataka iweje? Kitu pekee cha kushauri ktk scenario yko ni kumsaidia bibi yako kufanya estate planning
Yupo iringa,anakuzitia kama urithi kwa mumewe,na mm ndo napaswa kumsaidia
 
Back
Top Bottom