maeneo ambayo walikua wakiyatumia wakati wa uhai wa mumewe,,,na waliambiwa wakate hati miliki alifanya hivoUna document yoyote inayoonyesha umiliki wake?
Yupo iringa,anakuzitia kama urithi kwa mumewe,na mm ndo napaswa kumsaidiaEleza uko wap? Hizo mali za huyo bibi ziko wap na je anataka kuzitia kama urithi au anataka iweje? Kitu pekee cha kushauri ktk scenario yko ni kumsaidia bibi yako kufanya estate planning