Naombeni msaada wa kubadili TIN number ya kawaida kuwa ya biashara

Naombeni msaada wa kubadili TIN number ya kawaida kuwa ya biashara

nordenconrad

Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
26
Reaction score
2
Habari wakuu,
naombeni msaada,
nahitaji kubadilisha TIN number ya kawaida kuwa ya biashara online, kwa aijili ya chombo cha moto aka bajaj,
sasa huku online naona mapichapicha tu nimefika level ya business location sasa hapo mtihani. au sio lazima kujaza vipengele vyote?
 
Back
Top Bottom