Naombeni msaada wa kufahamu bei za biashara ya mazao Zanzibar

Mr.Black

Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
97
Reaction score
74
wana jamii forums.

Naombeni kusadiwa nataka kupanua wigo wa biashara zangu, hasa kwa upande wa Visiwani Zanzibar sasa nisadie nikitaka kwenda kuuza mazao kule hasa mpunga na maharage bei zao wanazo nunulia kule ni kiasi gani. Nitashukuru sana kupewa maelezo ya kina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…