Naombeni msaada wa kupata leseni ya biashara kati ya bara visiwani

Naombeni msaada wa kupata leseni ya biashara kati ya bara visiwani

wambagusta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
2,825
Reaction score
2,292
Hivi Kibali au leseni ya kufanya biashara kati ya Zanzibar na bara unapataje mfano unapereka mazao visiwani
 
Mmh wachangiaji hakuna...Mimi sijui ngoja wengine waje
 
Hivi Kibali au leseni ya kufanya biashara kati ya Zanzibar na bara unapataje mfano unapereka mazao visiwani
Biashara yako
1. Imesajiliwa?
2. Kodi na ada mbali mbali unalipa?
3. Biashara unayopeleka visiwani unalipa ada/kodi elekezi kutokana na serikali inavyotaka. Jp kutoka bara kwenda visiwani hakuna gharama za tofautibya ushuru
 
Back
Top Bottom