wambagusta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 2,825 Reaction score 2,292 Jun 2, 2018 #1 Hivi Kibali au leseni ya kufanya biashara kati ya Zanzibar na bara unapataje mfano unapereka mazao visiwani
Hivi Kibali au leseni ya kufanya biashara kati ya Zanzibar na bara unapataje mfano unapereka mazao visiwani
T Tuchki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2017 Posts 1,740 Reaction score 1,444 Jun 3, 2018 #2 Mmh wachangiaji hakuna...Mimi sijui ngoja wengine waje
Afrolink-Tz Consult Ltd JF-Expert Member Joined Feb 25, 2018 Posts 424 Reaction score 950 Jun 5, 2018 #3 wambagusta said: Hivi Kibali au leseni ya kufanya biashara kati ya Zanzibar na bara unapataje mfano unapereka mazao visiwani Click to expand... Biashara yako 1. Imesajiliwa? 2. Kodi na ada mbali mbali unalipa? 3. Biashara unayopeleka visiwani unalipa ada/kodi elekezi kutokana na serikali inavyotaka. Jp kutoka bara kwenda visiwani hakuna gharama za tofautibya ushuru
wambagusta said: Hivi Kibali au leseni ya kufanya biashara kati ya Zanzibar na bara unapataje mfano unapereka mazao visiwani Click to expand... Biashara yako 1. Imesajiliwa? 2. Kodi na ada mbali mbali unalipa? 3. Biashara unayopeleka visiwani unalipa ada/kodi elekezi kutokana na serikali inavyotaka. Jp kutoka bara kwenda visiwani hakuna gharama za tofautibya ushuru