Naombeni msaada wa kurejesha rangi ya uso na mikono iliyoharibika

CalifNice

Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
78
Reaction score
28
Nisaidieni namna ya kurejesha rangi ya uso na mikono kwa haraka sana bila athari yoyote. Kwa kuna tofauti kubwa kati muonekano wa uso na mikono ukilinganisha na sehemu nyengine mwilini.
 
Ngoja wanaume wa dar waje kukupa majib, sie wa mikoani tunatumiaga baby care tu
 
Naona michango inadorora au cjaeleweka vizur
Naomba kwa anaejua a specific item for skin recovery from sun tanned skin
 
Mikono as whole au ni viganja tu??? Kama ni viganja tu its normal hua inang'aa zaid kuliko uso...for a sun tanned skin you could use lotions with vitamin E,na pia zenye cocoa...hata cocoa palmer ni nzur pia
 
Nisaidieni namna ya kurejesha rangi ya uso na mikono kwa haraka sana bila athari yoyote. Kwa kuna tofauti kubwa kati muonekano wa uso na mikono ukilinganisha na sehemu nyengine mwilini.
Umetumia cream za kuchubua? Au umeathirika na jua?

Tumia alovera love nature hii hurudisha ngozi ya awali baada ya kutumia cream.
Sun protection hii kama tatizo limesababishwa na jua.

Nb: bidhaa hizi ni asilia na hazina madhara.

Wasiliana nami kuzipata bidhaa husika kwa 0717 343635
 
Nimesababishwa na jua na saivi nimetumia baadhi ya cream lkn sio effective katika ku recover rangi ya uso na mikono
 
Mikono as whole au ni viganja tu??? Kama ni viganja tu its normal hua inang'aa zaid kuliko uso...for a sun tanned skin you could use lotions with vitamin E,na pia zenye cocoa...hata cocoa palmer ni nzur pia
Ni mikono enyewe sio viganja
 
Nisaidieni namna ya kurejesha rangi ya uso na mikono kwa haraka sana bila athari yoyote. Kwa kuna tofauti kubwa kati muonekano wa uso na mikono ukilinganisha na sehemu nyengine mwilini.
Aliyekutuma utofautishe mikono na uso ni nani? Si ulitaka kuwa Bana Congo wewe Baki hivyo hivyo, hakuna binadamu aliyezaliwa na rangi mbili kama wewe mkuu
 
kwa hiyo umekuwa kama huyu mwenzako!!!! [emoji2] [emoji2]
 
Attachments

  • 1472451753134.jpg
    1472451753134.jpg
    22.6 KB · Views: 89
Back
Top Bottom