Naombeni msaada wa kutafsiri maneno au sentensi kadhaa...

Mama Mwamba

Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
15
Reaction score
1
1. mazali
2. tumeshoka (sio tumechoka)
3. mitaala
4. "kulunafisini dhalkatul maut"
5. nyanja
6. mdau

Asanteni sana!
 
1.Opportunity
3.Curriculum
5.Division/Section
6.Stake holder
 
1. mazali
2. tumeshoka (sio tumechoka)
3. mitaala
4. "kulunafisini dhalkatul maut"
5. nyanja
6. mdau

Asanteni sana!

Mama Mwamba, binafsi natoa ushauri kabla ya kujaribu kukupa tafsiri ya neno liwalo lote. Anzia kwenye rejea mbali mbali kwanza kabla hujakileta kitu jamvini. Inapotokea jambo limekosekana kwenye vyanzo mbali mbali ulivyovirejea, ndipo ulitupe jamvini upate msaada. Na ili msaada wa wanajamvi uonekane kuwa wa kuaminika, ni vema tujaribu kuonesha vyanzo vya hayo maarifa ya msaada. Vinginevyo jamvi hili halitatendewa haki kama jamvi la wanafikra nguli.
 
Asante kwa mawazo yako. Ukiona nime post swali hapa, ujue kuwa nimesha exhaust resources zangu nyingine zote. Nakushukuru kwa msaada wako.
 
Back
Top Bottom