Mama Mwamba
Member
- Feb 16, 2012
- 15
- 1
1. mazali
2. tumeshoka (sio tumechoka)
3. mitaala
4. "kulunafisini dhalkatul maut"
5. nyanja
6. mdau
Asanteni sana!
Mama Mwamba, binafsi natoa ushauri kabla ya kujaribu kukupa tafsiri ya neno liwalo lote. Anzia kwenye rejea mbali mbali kwanza kabla hujakileta kitu jamvini. Inapotokea jambo limekosekana kwenye vyanzo mbali mbali ulivyovirejea, ndipo ulitupe jamvini upate msaada. Na ili msaada wa wanajamvi uonekane kuwa wa kuaminika, ni vema tujaribu kuonesha vyanzo vya hayo maarifa ya msaada. Vinginevyo jamvi hili halitatendewa haki kama jamvi la wanafikra nguli.
4 - every soul will taste the death