Naombeni msaada wa location nzuri kwa ajili ya biashara ya chips

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wakuu habar zenu, nipo kwenye harakat za mwisho za kufungua biashara ya chips. Tatizo nakosa location muda wa kutafuta location sina nabanwa sana na mambo ya kazi. Naomba msaada kwa mtu anaejua location nzuri kwamba niweka biashara naweza pata hata mia mbili tatu so mbaya

Location iwe Dar wakuu,

Ahsanteni.
 
MKUU,

IKIWA MUDA WA KUTAFUTA LOKESHENI TU HUNA,
UTAPATA MUDA WA KUIENDESHA AU KUISIMAMIA BIASHARA??
 
Tafuta sehemu ambayo ni karibu na chuo au hostel za wanachuo
 
Ww uko interested na maeneo gani Sinza, Mwenge, Kinondoni, Magomeni, Ubungo , Tabata, Kimara, Mbezi?
 
Kuna vibanda kama vitano hapa hospital ya temeke karibu na lango kuu la kuingilia hospital yaani wateja hawakauki muda wote mtu nyomi iwe asubuhi, mchana au jioni
Nafikiri tafuta maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu.
 
Ahsante mkuu
 
Njoo kibaha kuna location kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…