Naombeni msaada wa matibabu ndugu zangu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Mficha maradhi kifo humuumbua.

Naombeni mnisaidie nipone huu ugonjwa
Mimi ni bonge kiasi nina kg 96,niliambiwa niwe nakunywa maji mengi.tatizo likazidi,

Niimeambiwa nisinywe maji mengi ni mabaya kwa mwili wangu hata sielewi
Nikilala usiku asubuhi naamka miguu iko poa

Nikisimama simama cause kazi yangu inainvolve kusimama simama ndo kama hivo yaani

Inanikera kusema kweli
Mwenye dawa pls maana humu watu wengi na wataalamu wengi
 
Fanya mazoezi aisee inavimba hivo maybe kwakua huitumikishi ipasavyo yaani mpaka pale inapobidi as you said kazi yako inahitaji kusimama, jitahidi kutembea kwa miguu bodaboda zinawaharibu sana mabinti wa siku hiz

You got beautiful legs though.✌️
 
Fanya mazoezi na punguza kula vyakula kwa wingi, maji ni muhimu kunywa sana
 
Asante kwa ushauri
Hamna dawa???
 
Unene ni dalili kuwa mwili haupati mazoezi ya kutosha, hakuna excuse Miss Natafuta fanya tizi 😊😊😊, mimi ndio usiseme ni mnene mpaka najichukia,nishafanya mazoezi weeee lakini wapi..napunguza mbili naongeza nne πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸ€¨
 
Nitumie hyo dawa pls nitalipa mkuu
I don't trade lives mkuu kama kungekua na uwezekano ningekutumia kwa bure coc ni mm kwenda na kuchuma porini.
Shida nipo eneo lingine kabisa tofauti na kwetu. Nasikitika siwezi kukusaidia katika hili... Nitajitahidi sana mazoezi
 
Aisee cariha, njoo usaisie watu huku kupunguza kg 10.

Wakifuata maelekezo yako naamini watauona Mwanga..

Nahisi Jamaa alidanganywa K vant inapunguza unene..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…