Naombeni msaada wa matibabu ndugu zangu

Ipo dawa ya kupunguza mwili elf10 tu ni ya asili matokeo ni chap within a week unaona changes..na imetengenezwa kwa vitu asili 100%....vitambi manyama uzembe ile ndo kiboko yake walengwa mnaohitaji mnione
Hakunaga dawa ya kupunguza mwili, hyo ni utapeli tu, ata kama zipo dawa za kupunguza apetite ila kama anakula vyakula vyenye calories nyingi ni kaz bure
 
Pole sana!
 
Unajua ugali na wali una calories kias gani mkuu.
 
Nashukuru mkuu
Mkuu unafahamu mti unaitwa parasite Tree?? Sijui kwa kiswahili unaitwaje ila ni mti fulani ambao hua unaota juu ya miti mwingine then ule mti uliootewa kwa juu hua unakufa. Miti hii kwa makabila mengi Tz ni common katika Shughuli za kutambika mizimu wamasai pia huutumia kutambika.

Hua unamizizi midogo na mikubwa inayoninginia kutoka juu ya matawi basi chukua hiyo mizizi midogomidogo iponde kidogo tu ilainike kisha ichemshe, ukiichemsha ipua kisha jikande/massage hapo kwenye miguu kwa kutumia mizizi hiyo ikiwa na moto kiasi. Faya hivyo mara kwa mara inaweza kusaidia. Enzi hizo tulikua tunaitumia tukiumia tukitoka kucheza mpira hasa tukiteuka au maumivu ya kukanyagwa na viatu.
Jaribu dawa hii labda inaweza kusaidia...

Kwa huku kwetu miti hii ipo kwa wengi hapo kwenye ukuta wa AICC mkabala/opposite na Mount Meru Hospital. Yaani ukisimama geti la kuingia hospital hapo ukiangalia ukuta wa AICC unaiona hiyo miti ipo mingi sana. Wewe nenda chuma mizizi yake wala hutashikwa.
 
Tatizo lako ni uzito mkubwa kupitiliza..
Fanya mazoezi saana, zingatia chakula (diet) , acha kabisa kitu kinaitwa wanga, acha kula wali, ugali, chapati na vitu vya namna hiyo, punguza kula nyama nyekundu, kula samaki, mboga majani, kuku ,maharage kidogo
Narudia acha kabisa kula ugali,wali na chapati...fanya mazoezi .
Niliwahi kuwa na tatizo la uzito mkubwa mpaka diabetes ikanisumbua kwa zaidi ya miaka miwili then nikaamua kubadili mfumo wa maisha kwa kuacha wanga plus mazoezi, saizi nimekuwa trainer wa watu wenye shida kama nyinyi nikipata muda, sina kitambi tena only six P... Sina kisukari all matatizo ya afya yameisha..Kuna mtu anaitwa Dr boaz anashauri ule nini (simfanyii matangazo but nakupa njia) nenda kwenye page yake IG utaniona how I have transformed myself kwa kuacha wanga
 
Fasting ni kiboko, sema wengi hawawezi. Mie pia ni shuhuda wa hili.
Unajua mkuu watu wengi wanataka waambiwe lugha laini laini,hawataki kuteseka/kujikaza.Ila kupungua mwili lazima usote,Kama ulivyo enjoy kula kula hovyo then lazima uenjoy hivyo hivyo msoto wa kupunguza huo mwili.
 
Sina dalili ya kidney disease bna,halafu asubuhi nikiamka niko normal
Hivi sex inasaidia??
Pana umbali gani kutoka home kwako na kazini, kama kuna umbali kiasi basi jaribu kwenda kazini kwa mguu, aisee gari au bodaboda zinatulemaza tunaleta mrundikano wa magonjwa
 
Pole unatatizo Kama langu,Mimi kuvimba kumezidi navimba miguu,mikono haya na uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…