Naombeni msaada wa matibabu ndugu zangu

Kuna Wapuuzi wameshakutamani
 
Wengine tuna hangaika kuongeza hata kg 2,wengine wanahangaika kupunguza😞
Kama kilo zingekuwa zinahamishika,mumy ningekuomba unipe kg 10
 
Funga tu, twice a week.
After 2-3 month utakaa sawa.
 
Inauzwa wapi mkuu??

Kwenye maduka ya vifaa vya gym. Kariakoo.

Spinning bike kwa lugha nyingine wanaita stationary bike

Lazima ujue uzito wa mtumiaji kwanza kabla hujanunua. Ili usije nunua ndogo sana ama kubwa sana
 
Kwenye maduka ya vifaa vya gym. Kariakoo.

Spinning bike kwa lugha nyingine wanaita stationary bike

Lazima ujue uzito wa mtumiaji kwanza kabla hujanunua. Ili usije nunua ndogo sana ama kubwa sana
Roughly sh ngapi mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…