Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 184
Naombeni ushauri wenu wapendwa,
Mimi ni mama wa nyumbani nimepewa mkopo wa Tshs. 3mil nifanye biashara gani ambayo italipa fasta nirudishe hela ya watu, naombeni mawazo yenu ya kina.
Nilitamani nikimbie kijijini kwetu kulimia hiyo hela nitulie hukohuko miezi kama mi3, lakini sizani kama baba watoto atakubaliana na mimi.