naombeni msaada wa mawazo 3mil naweza kufanya biashara gani?

Chokochoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2011
Posts
438
Reaction score
184
Naombeni ushauri wenu wapendwa,

Mimi ni mama wa nyumbani nimepewa mkopo wa Tshs. 3mil nifanye biashara gani ambayo italipa fasta nirudishe hela ya watu, naombeni mawazo yenu ya kina.

Nilitamani nikimbie kijijini kwetu kulimia hiyo hela nitulie hukohuko miezi kama mi3, lakini sizani kama baba watoto atakubaliana na mimi.
 
fungua duka lenye nafaka bcoz zinatakiwa kila siku kama unga,mchele nk n vitu vya kawaid kdogo
 
Wakati unachukua mkopo ulifikiria biashara gani mamiii?
Bora kuanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…