Naombeni msaada wa mawazo

Jostrick

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
66
Reaction score
35
Habar ndugu zangun, mimi ni mwanafunz wa MUCE first yr nasoma Ed in science (Math) sasa naomba kujua kama mm kuchukua somo moja inaweza ikaniletea shida ktk swala la ajira...?

Vilevile kuna tatzo lolote hapo baadae kwa mm kuchukua somo moja?

Naombeni mnishaur mdogo wenu....
 
Kwani bado una nafasi ya kuchagua masomo mengine, au option ya kuongeza somo la pili?

Kwa kukushauri kama hakuna nafas hizo nakushauri katika masomo ya ku opt (option course) uchague somo moja tu kwa mfano unaweza kufanya option kwenye Geograph) so kila option utaenda ku opt geography department.

Nashauri coz wakati wa kujaza form ya ajira ualimu kuna kua na nafasi za masomo mawili pia hata wewe inakupa uwanja mpana ktk kujua vtu vng coz mambo yanabadilika kila siku huwez ukajua system ya elimu itakuaje baada ya we kugraduate.

Ni hayo tu mkuu hongera!
 

Samahan
 

Samahan bro dis iz ma no;0765081038
namba nsaidie no yako tafadhar
 
Kijana unawasiwasi gani, kwa ushauri wangu komaa na iloilo moja hauwezi achwa kwenye ajira, walimu wa math ni wachache sana nchi hii na wanatafutwa kaa dhahab, na rafiki yangu kaajiriwa serikalini lakini anashule mbili za private anafundisha, usihof best.
 

dah nashkur bro kwa ushaur wako mzur.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…