cinddy 822
New Member
- Jul 17, 2016
- 1
- 1
una uhakika??Mimi naitwa cinddy, nilikua naomba mnisaidie kwa yoyote atakaeguswa na bwana moyo wa kujitolea. Nimefiwa na baba yangu mlezi aliekua ananisomesha chuo. Niko mwaka wa mwisho chuo nasomea kozi ya accounts and finance. Nimepungiwa na ada shillingi laki tatu. Namba yangu ya simu ni 0768184898 nimejiunga na mpesa. Asanteni na mungu awabariki.
Toa ufafanuzi wa kina, uko chuo gani, mkoa gani nkMimi naitwa cinddy, nilikua naomba mnisaidie kwa yoyote atakaeguswa na bwana moyo wa kujitolea. Nimefiwa na baba yangu mlezi aliekua ananisomesha chuo. Niko mwaka wa mwisho chuo nasomea kozi ya accounts and finance. Nimepungiwa na ada shillingi laki tatu. Namba yangu ya simu ni 0768184898 nimejiunga na mpesa. Asanteni na mungu awabariki.
Duhh!! QuestionnaireUna umri gani?
Baba ako anaitwa nani?
Umezaliwa wa ngapi ktk familia yenu?
Je unasoma chuo gani?
Wewe ni mfupi au mrefu?
Una miaka mingapi?
Na bila kusahau nngependa kujua form four ulimaliza mwaka gani?
Je unanifahamu?
Mkuu ngoja tuongezee na haya apaUna umri gani?
Baba ako anaitwa nani?
Umezaliwa wa ngapi ktk familia yenu?
Je unasoma chuo gani?
Wewe ni mfupi au mrefu?
Una miaka mingapi?
Na bila kusahau nngependa kujua form four ulimaliza mwaka gani?
Je unanifahamu?