Katitima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 630
- 121
Nina biashara yangu ya duka la nafaka,unga na mafuta ya alizeti.(food stuff) hapa moro mjini.
Nauza mahindi,unga wa mahindi,(sembe & dona),mchele,maharage, korosho,karanga,ufuta, mafuta ya alizeti,ngano ghafi,unga wa ngano,mbaazi,mtama,soya,ulezi na unga wa lishe(mchanganyiko)
tukiondoa unga wa ngano ambao nauza wa AZAM,bidhaa nyingne zote haziko packed na hazna brand names
sasa ninaomba kufahamu mchakato mzma wa kufanya packaging ili ziwe katka kg 1,2,5,10 na 20 na ziwe branded.
Nawasilisha