Nina biashara yangu ya duka la nafaka,unga na mafuta ya alizeti.(food stuff) hapa moro mjini.
Nauza mahindi,unga wa mahindi,(sembe & dona),mchele,maharage, korosho,karanga,ufuta, mafuta ya alizeti,ngano ghafi,unga wa ngano,mbaazi,mtama,soya,ulezi na unga wa lishe(mchanganyiko)
tukiondoa unga wa ngano ambao nauza wa AZAM,bidhaa nyingne zote haziko packed na hazna brand names
sasa ninaomba kufahamu mchakato mzma wa kufanya packaging ili ziwe katka kg 1,2,5,10 na 20 na ziwe branded.
Nawasilisha
Wala hujakosea. Kuna branding na packaging. Nadhani ni michakato miwili tofauti - mmoja ni wa kisheria zaidi na mwingine ni wa kibiashara zaid. May be ninaweza kupata baadhi wa watu wenye uzoefu wa branding. Labda naweza kuku-link with some individuals ambao wameanza zoezi hilo hata kama ni kwenye different products (agric) lakini process might be the similarWakuu mmenisusia mada kuna kitu nimekosea kwani hapo?
Wala hujakosea. Kuna branding na packaging. Nadhani ni michakato miwili tofauti - mmoja ni wa kisheria zaidi na mwingine ni wa kibiashara zaid. May be ninaweza kupata baadhi wa watu wenye uzoefu wa branding. Labda naweza kuku-link with some individuals ambao wameanza zoezi hilo hata kama ni kwenye different products (agric) lakini process might be the similar
Ni PM.BUBE,nashukuru kwa kuwa pamoja nami na kuni-inspire,lakin pia nikushukuru sana kwa kile unachtaka kufanya kwa ajil yang