Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Mimi nimepanga chumba cha biashara cha duka nililipa mwaka mkataba wangu unaisha mwez wa kumi na mbili tarehe 31 lakin juz kulitokea ajali chumba kikashika moto duka likaungua sasa leo mwenye nyumba kanifukuza anadai nimeunguza chumba kwahiyo na miezi yangu iliyobaki nayo kakatalia nifanyeje ndugu naomben ushauri mimi niko mwanza kama kuna mutu yuko mwanza anajua sheria twaweza wasiliana