Naombeni msaada wa utaalamu wa mambo ya kibaiolojia

Duuuh haya mi ngoja niminye nifaidi shule tu hasa ukizingatia biology niliskip!!
 



huko porini hakuna vifaa....yeye kama yeye asiengeweza kukikata....kakata kitovu kunahitahi utaalamu....hakukuwa na mkunga, nesi, wala daktari......lakin kama angefanikiwa kweli....hapo sasa inategemeana na uwezzo, nguvu alizonazo, mahali kilipo kitoto hicho cha kwanza kutoka.....kupoteza fahamu kisha kuzinduka kunategemeana na sababu ya kile kilichopeleka huyu mtu kupoteza fahamu........lakini pia yule mtoto aliyebaki tumboni tuko katika hali gani...anaweza kuzaa wote lakini wakati anatoa kondo la nyuma naweza kutoa damu nyingi na kupoteza maisha.....[/QUOTE]

asante sana mkuu,maelezo yako ni msaada mkubwa kwangu,sina jinsi ya kukushukuru zaidi ya kusema asante sana mungu akubariki.
 

mkuu doctorz nianze kwa kukushukuru.
hapo pekundu naona unapingana na maelezo aliyotoa mwanzo mkuu Edson ambaye amefafanua kwa vizuri na kwa kina kuwa mtoto hata survive sbb asipokatwa kitovu hataweza kupumua.
Mkuu nitashukuru sana kama utafafanua ni vipi ulichokielezea kitawezekana,Naomba usome kwanza maelezo ya mkuu Edson then ndio ufafanue naona wataalam wangu mnatofautiana kidogo which is good sababu naamini itatoa chance ya kujifunza zaidi.Nyote mnaweza kuwa sawa labda ila maelezo ya zaidi kutoka kwako yatasaidia.
 

mkuu doctorz hapo pa blue ulichosema ni kweli ila natumai huniambii mim.
mm sio bisexual wala lesbian im very straight.
I love men,and never will i be atracted to a fellow woman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…