Naombeni msaada wa wataalamu wa kilimo na ufugaji

chavalla

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
451
Reaction score
354
Nitatatizo na aina hii ya mdudu anasumbua Sana shambani kwa anaejua dawa ya kumuua maana nimehangaika Sana nimetumia dawa Kama sala naka na aina nyingine lakini hafi.

Sasa naombeni kwa anaejua dawa yake. Mdudu huyu ni mbaya sana anakula kwanzia nyanya michê ya mihogo mahindi na matikiti yaani ni muatibifu sana.. natanguliza shukrani kwenu wadau. Nawakilisha hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…