Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,718
- 3,488
umejaribu kwenda hospitali mkuu au bado...kama bado fanya kwenda tuNinatatizo la kujihisi mwilini haswa kwenye mbavu,miguuni na kichwani kuna vitu vinatembea mwilini haswa mida ya usiku.
Msaada wenu wanajamvi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado Mkuuumejaribu kwenda hospitali mkuu au bado...kama bado fanya kwenda tu
Jaribu kwenda mkuu aisee
Aliyekwambia Nina shida na pesa na nani...?Msaada wa pesa au? tofauti na huo ulifaa uombe maombi yetu wakati ukiwa hospitali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unashindwa kujiongeza mkuu au adi kwenda hospitali aje waziri wa afya akwambie nenda hospitali?Aliyekwambia Nina shida na pesa na nani...?
Tafadhali tuheshimiane kama huna shauri lolote haina haja ya kuchangia .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukiniambia nenda hospital nako in ushauri mzuri tuu, lakini sio mambo ya kuleteana dhiahaka.Sasa unashindwa kujiongeza mkuu au adi kwenda hospitali aje waziri wa afya akwambie nenda hospitali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ugonjwa wa akili, ndivyo mnavyofundishwa kwa Lusekelo?Msaada wa pesa au? tofauti na huo ulifaa uombe maombi yetu wakati ukiwa hospitali
Sent using Jamii Forums mobile app
Lusekelo anakujaje hapa kama na wewe sio chizi?Huu ni ugonjwa wa akili, ndivyo mnavyofundishwa kwa Lusekelo?